Mbowe Atoa Msimamo Baada ya Kukamatwa Wanachama 520; 'Tutawashtaki Mmoja mmoja, Haturudi Polisi'

Описание к видео Mbowe Atoa Msimamo Baada ya Kukamatwa Wanachama 520; 'Tutawashtaki Mmoja mmoja, Haturudi Polisi'

Leo, tutakuwa tukirusha mubashara tukio muhimu sana katika anga za kisiasa nchini Tanzania. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, atazungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu yeye na viongozi wengine pamoja na wafuasi wa chama hicho kuachiwa na polisi.

Katika mkutano huu wa leo, Mbowe anatarajiwa kuelezea kwa kina hali ilivyokuwa, sababu za kukamatwa kwake, na mustakabali wake kisiasa pamoja na chama chake.




Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке